Kizaizai - Diamond Platnumz

Kizaizai - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`스와힐리어`
Длительность
236530

아래는 노래 가사입니다. Kizaizai , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함

노래 가사 " Kizaizai "

번역이 포함된 원본 텍스트

Kizaizai

Diamond Platnumz

Yaananza kama safari

Twende fulani ukaone

Kumbe yana nguvu ni hatari

Ukishanasa ndio uponi eeh

Yaananza kama safari

Twende fulani ukaone

Kumbe yana nguvu ni hatari

Ukishanasa ndio uponi eeh

Mungu aliumba dunia na maajabu yake

Ya mwenzako sikia omba yasikupate

Eiih!

Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh

Ya mwenzako sikia ila yasikupate

Kizaizai

Nyie mapenzi yanauma

Kizaizai

Yanaumiza

Oh kizunguzungu

Kizaizai

Jama mapenzi mabaya

Kizaizai

Waweza gombana na ndugu

Kizaizai

Rafiki akawa mbaya

Kizaizai

Kazi ukaona chugu

Nyie mapenzi karaha

Eh!

Sumere wa

Grante grante

Mmmh!

Yanayima furaha

Yanakosasha raha

Yanayima furaha

Yanakosasha raha

Tena usiombe kupenda

Ulie mpenda ajue

Tena usiombe kupende

Ulie mpenda ajue

Amani utakosa, karaha jamani

Dunia chungu kufa utatamani

Eiih!

Mungu aliumba dunia na maajabu yake

Ya mwenzako sikia omba yasikupate

Eiih!

Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh

Ya mwenzako sikia ila yasikupate

Kizaizai

Nyie mapenzi yanauma

Kizaizai

Yanaumiza

Oh kizunguzungu

Kizaizai

Jama mapenzi mabaya

Kizaizai

Waweza gombana na ndugu

Kizaizai

Rafiki akawa mbaya

Kizaizai

Kazi ukaona chugu

Nyie mapenzi karaha

Kizaizai

Baba na mama watake

Kizaizai

Chakula tamuni sumu

Kizaizai

Mashoga sasa wanafiki

Kizaizai

Kulala nanyi ni ngumu

Kizaizai

Eiih!

Yanauma

Kizazai

Tena yanauma sana

Kizaizai

Yanauma

Kizaizai

Tena yanauma sana

Kizaizai

Ooh yanauma sana

Ayo!

Haa!

And this is hit from Tanzania

Diamond Platnumz baby

In See Records

Holla

Wewe

Kizaizai

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요