No Stress - Avril

No Stress - Avril

Год
2015
Язык
`영어`
Длительность
200640

아래는 노래 가사입니다. No Stress , 아티스트 - Avril 번역 포함

노래 가사 " No Stress "

번역이 포함된 원본 텍스트

No Stress

Avril

Pacho Baiby, Oh Yeah, Yeah, Yeah.

Cedo on the beat (Avril)

Uh 1, Uh 1, Uh 1, 2, 3, go!

Tulijuana for long,

Na nililia kila siku nikijiambia kwamba nampenda,

My self esteem was buried to the ground,

Lakini tonight enough is enough (No more)

Kuchoshwa na maswali ninayo,

Kutarajia mapenzi yako (No more)

Kuchoshwa na maswali ninayo ooh

Sing, I’m going out (yeah)

Me, ain’t got no stress, (No stress)

In my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

Me, ain’t got no (No stress)

Stress in my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

two naambiwa

Coz me si mvulana

I ain’t supposed to sing like this,

So, one shot, two shot (oh)

Am feeling tipsy (hahaha)

So sing with me (No more)

Kuchoshwa na maswali ninayo,

Kutarajia mapenzi yako (No more),

Kuchoshwa na maswali ninayo ooh,

Sing, I’m going out (yeah)

Me, ain’t got no stress, (No stress)

In my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

Me, ain’t got no (No stress)

Stress in my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

Siendekezi stress leo me naziweka mbali,

Tabasamu kila time, basi densi nami,

Shida zipo (shida zipo), na wala haziishi,

Wacha nijiachie ukitaka cheer na me,

Maisha inabana, tushapambana

Bado mipango inakwama (yeah),

Nyuma sitaki tazama

Sasa nasonga ah mbele tu sana (yeah),

Lakini muda huu (yeah),

Wa kula bata tu (yeah),

Weka mikono yako juu,

Kisha imba nami,

Me, ain’t got no, (No stress)

In my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

Me, ain’t got no stress, (No stress)

In my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

Sina stress, sina hoja akilini

Me, ain’t got no, (No stress)

In my life,

And that’s why

Na-rusha mikono juu uu

Na-katika tu uu

… No Stress!

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요