Waache Waoane - Chege, DIAMOND

Waache Waoane - Chege, DIAMOND

Год
2016
Язык
`스와힐리어`
Длительность
231340

아래는 노래 가사입니다. Waache Waoane , 아티스트 - Chege, DIAMOND 번역 포함

노래 가사 " Waache Waoane "

번역이 포함된 원본 텍스트

Waache Waoane

Chege, DIAMOND

Said Fella!

T.M.K.

for life

Wasafi…

Enhee he he

Check it out…

Wasafi Records

Hook: Chege

Maji ya moto yamekuwa baridi

La la la la la…

Hakimu nimekuwa shahidi

La la la la la…

Ukishusha mateso ndo yanazidi

La la la la la…

Alioniliza ndio wa kunifariji

La la la la la…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Verse 1: Chege

Yame dhibitisha macho, lakini moyo unakataa

Nimeamini kikulacho, ni yule unayeona anayekufaa

Nilifumba mboni zangu, kwa wengine ni muone yeye tu

Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu

Mwambie' awe huru, wala si nto lalama

Ah ha… Ah ha…

Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama

Ah ha… Ah ha…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Verse 2: Diamond Platnumz

Oh…

Ay, Anaye panga kugawanya huwaga ni mungu baba

Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba

Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda

Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla

Oh!

tena nakupa maua, umpelekee

Usije yatupa, naomba uya pokee

Oh!

Na swala ntafunga, usiku ni waombee

Awape baraka muumba, watoto wa waletee

Ee… Aah…

Pre-Chorus: Chege & Diamond Platnumz

Waache waoane…

Oh salimini salama

Waache waoane…

Aye, wawe baba na mama

Waache waoane…

Tena naeka na nadhiri

Waache waoane…

Aku!

si nto wasumbua

Hook: Chege

Maji ya moto yamekuwa baridi

La la la la la…

Hakimu nimekuwa shahidi

La la la la la…

Ukishusha tu mateso ndo yanazidi

La la la la la…

Alioniliza ndio wa kunifariji

La la la la la…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Hook: Diamond Platnumz

Aga' Japo moyo wangu 'kitete

Moyo wangu 'kitete

Ah, yarabi moyo 'kitete

Taratibu ntazoea

Moyo…'kitete

Moyo wangu 'kitete

Mwenzenu moyo 'kitete

Taratibu ntazoea

Oh mama moyo… 'kitete

Moyo hii…'kitete

Oh!

wangu moyo 'kitete

Moyo wangu mama

Eeh… aah…

Aiyo, Laizer…

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요