Acha Nikae Kimya - Diamond Platnumz

Acha Nikae Kimya - Diamond Platnumz

Год
2017
Язык
`스와힐리어`
Длительность
252890

아래는 노래 가사입니다. Acha Nikae Kimya , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함

노래 가사 " Acha Nikae Kimya "

번역이 포함된 원본 텍스트

Acha Nikae Kimya

Diamond Platnumz

Mama ananiambia Nasibu mi ni

Mtu mzma nawe ndo nakutegemea

Yanayotokea jaribu kupiga kimya

Usidiriki ata kuongea

Mara nasikia vya aibu Konda Gwajima

Eti ugomvi umekolea

Kuchunguza karibu ni binti mmoja

Kwa mitandao anachochea

Najariibu kunyamaza ila moyo hautakii

Unanambia eti Simba japo unguruma uisemee hakii

Ooh najaribu kunyamaza ata Lizer ataki yooh

Anasema walau nena kidogo hiih

Na mashabiki Dangote

Wananambia mbona husemi chochote ah

Si uko nao siku zote

Ama ulezi unafanya uogope ah

Na media pande zote

Wanalalama kiongozi atoke eh

Nchi inaingia matope

Niende wapi na mi mtoto wa wote

Yaani lawama

Wacha nikae kimya

Mmh nisiongee (Kimya)

Ooh ninyamaze mimi (Nikae kimya)

Nisiseme (Kimya)

Mama kaniambia (Wacha nikae kimya)

Ooh nifunge mdomo (Kimya)

Mie bado mdogo sana (Nikae kimya)

Nisiseme (Kimya)

Mmh ni mengi majaribu

Najitahidi epuka yasije nicost

Japo mengine swadakta mengine hayana maana

Rafiki kipenzi wa karibu

Hata nyimbo yake sikuweza ipost

Ila alivokamatwa iliniumiza sana

Mitandaoni kila kona

Uongo na ukweli unashonwa

Kila nyumba inanong’ona

Ah oh Tanzania

Mara kimbembe Dodoma

Bunge upinzani wamegoma

Juzi akapotea na Roma

Ohh Tanzania

Najaribu kunyamaza

Makame hataki yooh

Ananiambia walau nena kidogo

Nyumbani nafungua gate

Niende kwa Mangi nunua supergate eh

Napewa za chini ya carpet

Kuna radio imevamiwa eti eh

Napita kwenye (Magazeti)

Nakuta rundo la watu (Wameketi) eh

Badala ya kutafuta cent

Wanabishana tu mambo ya vyeti

Wacha nikae kimya

Ooh nisiongee (Kimya)

Ninyamaze Kabisa (Nikae kimya)

Eh!

ulimi koma!

(Kimya)

Usije kunipoonza!(Acha nikae kimya)

Nifunge bakuli langu!

(Kimya)

Nikojoe nikalale!

(Nikae kimya)

Mi bado mdogo sana (Kimya)

Mama kaniambia

Oh najiuliza (Waaaapi)

Najiuliza (Waaaapi)

Tunakwenda wapi (Waaaapi)

Kila siku maneno (Waaaa)

Ah tuacheni jamani (Waaapi)

Mi na we ni taifa moja (Waaapi)

Kambarage baba mmoja (Waaaapi)

Sa tofauti za nini (Waaa) tushikamane tukaijenge Tanzania

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요