아래는 노래 가사입니다. Chanda Chema , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Diamond Platnumz
Platnumz
Chanda chema huvishwa pete
Basi pende nikupende, mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke
So nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Chanda chema huvishwa pete
Basi pende nikupende, mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke
So nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Ah sitosema hadharani
Ila moyoni nitaumia
Oh zile raha za chumbani
Nikianza fikiria
Mmmh!
Najua watasema mengi
Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unaju hawapendi?
Lengo lao
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Zidisha mahaba niteke
Tena nipe vya akiba ulovitunza ndani
Moyo upate maseke
Nisahau hata shida zote za zamani
Ah tena fanya hadharani
Ili wazidi chukie
Ah fanya hima natamani
Muda wao umewadia
Mmmh!
Najua watasema mengi
Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unaju hawapendi?
Lengo lao
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh (oooh)
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala (lalala)
Ah!
Ooooh
Ayo
Lemme dedicate this song
To all the pain in the ladies
Out there
(Lalalalalala, ah!)
It is what it is man
(Ooooooh)
They call me president baby
(Ooooooh)
Wasafi
Lalalalalala (eeeh)
Ah!
Ooooh (ooh lalalalala)
Lalalalalala (ii lalalala)
Ah!
Ooooh (oooh)
Oooh lalalala
Aaaah!
Oooh lalalala
Aaaah!
Lalalala
Ooooh!
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요