아래는 노래 가사입니다. Lala Salama , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Diamond Platnumz
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipige simu yangu
Uki!
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu
Najua wivu ndio mapenzi
Ila chunga usizidi
Si unajua kwako sijiwezi
Ila dhiki imebidi
Mi nili tamani si ni kuwa nawe
Tuwe wote usiku na mchana
Kilichofanya mi nipagawe
Sina chcochote cha kuwalisha wana
Niliupokea kwaunyonge
Msiba wakaka bona
Ile barua yako wa mwisho
Ilinitonesha vidonda
Usijali, nilai kipenzi changu
Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipige simu yangu
Uki!
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu
Ile 'kuo uone', nilidhani maghorofa
Ah!
Kumbe mwana ukome
Hakuna cha kuokota
Mi bado nakaza moyo changu kipenzi
Ilia naumia kwa kuwa mwenyewe
Natamani ila siwezi
Nazitafuta nije kula na wewe
Msalimu mama nyumbani
Usisema kama nahenya
Tai!
Mfiche mpe imani
Karibu ntakuo chema
Usijali, nilai kipenzi changu
Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipige simu yangu
Uki!
Uki la lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요