아래는 노래 가사입니다. Mawazo , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Diamond Platnumz
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana
kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
(Vearse one)
Sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga…
Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava…
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa!
Mmmh!
Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah!
(Inauma sana)
(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana
kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo.
(rudia kuimba mara mbili)
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu…
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa
Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요