Moyo Wangu - Diamond Platnumz

Moyo Wangu - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`스와힐리어`
Длительность
229970

아래는 노래 가사입니다. Moyo Wangu , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함

노래 가사 " Moyo Wangu "

번역이 포함된 원본 텍스트

Moyo Wangu

Diamond Platnumz

Moyo wangu

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee

Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina

Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi

Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina

Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso

Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo

Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh

Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha

Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina

Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama

Tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee

Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa

Na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee

Kwa kung’ang’ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa

Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie

Ila lakini ni kikwazo

Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka

Kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee

Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요