Nimpende Nani - Diamond Platnumz

Nimpende Nani - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`스와힐리어`
Длительность
228200

아래는 노래 가사입니다. Nimpende Nani , 아티스트 - Diamond Platnumz 번역 포함

노래 가사 " Nimpende Nani "

번역이 포함된 원본 텍스트

Nimpende Nani

Diamond Platnumz

Cha ah!

Nimpende nani?

Nimpende eeeh

Nimpende nani?

Nimpende aaah

Nimpende nani?

Nimpende eeeh

Nimpende nani?

Nimpende aaah

Tai!

We nilikuwaga na mupenzi akanizingua

Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

Isije siku miezi, naye akanisumbua

Ikawa tena kitenzi, mzigo kutua

Naogopa sana vichanga wa sasa

Kwenye mapenzi wasije wakanitenda

Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli

Wakanicha wakaenda

We si unajua!

Wazuri ni wengi lakini kumpata

Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala

Wengi ni wajanja watoto wa mjini

Wamejawa utapeli, tamaa

Wazuri ni wengi lakini kumpate

Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala

Wengi ni wajanja watoto wa mjini

Nimpende nani?

Cha ah!

Nimpende nani?

Nimpende eeeh

Nimpende nani?

Nimpende aaah

Nimpende nani?

Nimpende eeeh

Nimpende nani?

Nimpende aaah

Yasiwe kama ya Wema Sepetu

Kila siku magazeti

Ajue nidhamu na mila ya kwetu

Mjuzi kupeti-peti

Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira

Mpola kama Jokate

Ila sauti ka' Wema akiwa analia

Kicheko kama cha fetty

Naogopa sana vichanga wa sasa

Kwenye mapenzi wasije wakanitenda

Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli

Wakanicha wakaenda

We si unajua!

Wazuri ni wengi lakini kumpata

Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala

Wengi ni wajanja watoto wa mjini

Wamejawa utapeli, tamaa

Wazuri ni wengi lakini kumpate

Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala

Wengi ni wajanja watoto wa mjini

Nimpende nani?

Cha ah!

Nimpende nani?

Nimpende eeeh (eh eh eh)

Nimpende nani?

Nimpende aaah (oh nimpende nani?)

Nimpende nani?

(mama ma)

Nimpende eeeh (eh eh eh)

Nimpende nani?

Nimpende aaah (mi nimpende nani?)

We nilikuwaga na mupenzi akanizingua

Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

We nilikuwaga na mupenzi akanizingua

Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요