
아래는 노래 가사입니다. Jana Usiku , 아티스트 - Elani 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Elani
Jana usiku, niliota ndoto
Africa nzima, kuliwaka moto x2
Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu
Kama umemea
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele
Kona to kona, tukiimba
Aaaaaaa, aaaaaaa
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani
Haiyaiye
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa x2
Elani • 2012
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요