Kwa Ngwaru - Harmonize, Diamond Platnumz

Kwa Ngwaru - Harmonize, Diamond Platnumz

Год
2018
Язык
`스와힐리어`
Длительность
225100

아래는 노래 가사입니다. Kwa Ngwaru , 아티스트 - Harmonize, Diamond Platnumz 번역 포함

노래 가사 " Kwa Ngwaru "

번역이 포함된 원본 텍스트

Kwa Ngwaru

Harmonize, Diamond Platnumz

Hmm

I wish ningekuwaga na mavumba

Mkwanja manoti

Nikuhonge vya thamani

Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba

Masanja Joti usiwe mbali nami

Hmm

My darling, I need you love, oh

Uwe nami haki ya Mungu nakupenda

Nobody can show you love, oh

Usiwaamini ukishawapa wanakwenda

Oh, basi jilegeze

Nikubebe mgongoni (iyelewi)

Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)

Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)

Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

Oh, baby

Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)

Wa Bami Jo (kwa ngwaru)

Ololu Femi (kwa ngwaru)

Oh, baby

Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)

Wa Bami Jo (kwa ngwaru)

Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaagah

Moyo wangu wa muarobaini

Mchungu ukiuziwa

'Samehe mara sabini

Huo uzungu sija jaaliwa

Ungependa juu ama chini

Kwenye uvungu uparemiwa

Nikumbatie baridini

Kwenye tundu kama njiwa

Moyo wangu ni wa makuti

Usinijie na kibiriti (hasa we')

Penzi likageuka chuki

Nyumba ikawa kibiti (hasa we')

Nipatie vya kitandani

Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we')

Ili asiniingie shetani

Nawe nikaja kukucheati

Oh, basi jilegeze

Nikubebe mgongoni (iyelewi)

Kitandani nikoleze

Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)

Kisha nibembeleze

Nirudishe utotoni (iyelewi)

Weka mate niteleze

Kama nyoka pangoni (iyelewi)

Oh, baby

Asa dansi kidogo (kwa ngwaru)

Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)

Ololu Femi (kwa ngwaru)

Oh, baby

Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)

Wa Bami Jo (kwa ngwaru)

Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaagah!

'Nataka kucheza chura na ingali umesimama

Aah, inama inama

Asa waonyeshe

Aah, inama inama

Unachezaje

Aah, inama inama

Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama

Aah, inama inama

Ebu waonyeshe

Aah, inama inama

Unachotaje

Aah, inama inama

Unataka kupiga deki wima umesimama

Aah, inama inama

Ebu tuonyeshe

Aah, inama inama

Unapigaje

Aah, inama inama

Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana

Aah, inama inama

Ebu tuonyeshe

Aah, inama inama

Unalengaje

Aah, inama inama

Wasafi Record

Oya, wanangu wa kigogo (aah, inama)

Nipe za Mose Iyobo (aah, inama)

Vunja vunja kidogo (aah, inama)

Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요