Hey! - Just A Band

Hey! - Just A Band

  • 출시년도: 2007
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:49

아래는 노래 가사입니다. Hey! , 아티스트 - Just A Band 번역 포함

노래 가사 " Hey! "

번역이 포함된 원본 텍스트

Hey!

Just A Band

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhalika

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhalika

Kaa kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi

Najua kila mtu ataniuliza kwa nini

Manzi yangu bumba hata mi siamini

Sitaki Ruth, sitaki Ray, sitaki pia Kanini

Kushikwa nimeshikwa nikaweka mfuko

Hakuna pickpocket atanitoa huko

Ni mimi na yeye

Yeye na mimi

Tuko pamoja kama mdomo ulimi

Amekua na mimi nikikaranga chumvi

Atakuwa na mimi nikianza kunona

Sijamwona leo lakini story ni hii

Nitachukua simu yangu nimwambie hivi

Ntasema

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako infanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhalika

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako infanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine na waita kadhalika

Si kila siku utapata msichana moja mzuri

Msichana amesoma 'kini hana kiburi

Msichana saa zingine anasoma zaburi

Kusikiza santuri kwake pia desturi

Kama niko naye kila kitu ni shwari

Naona poa sana ananijali hali

Ye ni upepo wangu katika jua kali

Tafadhali please nitasema ukweli

Akiniacha leo sitafuti mwingine

Mambo ya kutafuta niliacha zamani

Lakini hiyo haitafanyika jamani

Juu hata yeye najua anafikiri hiyi

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhlika

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhlika

I have eyes for only you for only you

I have eyes for only you for only you

I have eyes for only you for only you

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhalika

Hey baby

Nataka kukuona

Sura yako inafanya roho inapona

Hey Kweli we ni malaika

Hao wengine nawaita kadhalika

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요