#Umenikamata - Jux

#Umenikamata - Jux

Год
2017
Язык
`영어`
Длительность
203690

아래는 노래 가사입니다. #Umenikamata , 아티스트 - Jux 번역 포함

노래 가사 " #Umenikamata "

번역이 포함된 원본 텍스트

#Umenikamata

Jux

Na Pia Navyopiga Gitaa

Naona Watu wamependeza

Nyuso zao zimejaa Furaha (Furaha, Ahhh)

Najua Ujue Leo hii

Kitatokea nini

Najua Ujue Leo Hii

Nitakuambia nini (Nitakuambia nini, Darling)

I do These For You (these for You)

I Do these For You (these for You)(I do these for you)

I do these for you (i do these for you)

These for you (i do these for you)

I do these for you (i do these for you)

These for you

Najua napenda Kukuona wewe

Ukiwa na Furaha (ahhhh)

Najua Thamani na Heshima Yako

Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee

Umenikamata X 4

Haki ya Mungu Wewe Ni Mzuri

You Are so Beautifull

Na Mungu Kakujalia

Huna Chembe Ya Kiburi

Wewe ni msafi wa Roho

I Dont Wanna Let You

Go

I wanna Marry You

Girl And Nothing Comes Between Us

Am Gonna Give You

My Loving and Make them

Wanna be us

I do These For You (these for You)

I Do these For You (these for You)(I do these for you)

I do these for you (i do these for you)

These for you (i do these for you)

I do these for you (i do these for you)

These for you

Najua napenda Kukuona wewe

Ukiwa na Furaha (ahhhh)

Najua Thamani na Heshima Yako

Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee

Umenikamata X 4

(BRIDGE)

Mamy Namuomba Mungu

Akulinde (Akulinde)

Akutunze na watoto uniletee

Wewe ni Furaha Yangu (Yangu)

Maisha Yangu (ni wewe)

Ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Najua napenda Kukuona wewe

Ukiwa na Furaha (ahhhh)

Najua Thamani na Heshima Yako

Kweli Unanifaa

Umenikamata wee

Umenikamata X4

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요