Kilio -

Kilio -

  • 출시년도: 2018
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:24

아래는 노래 가사입니다. Kilio , 아티스트 - 번역 포함

노래 가사 " Kilio "

번역이 포함된 원본 텍스트

Kilio

Hhhm Hhhm

Hali Yangu Mbaya

Anifikiria akipata muda (Akipata muda)

Moyo ameshaugawa

Pakacha penzi linavuja (Limeshavuja)

Mwenzie nna pagawa nahisi uchizi

Na network haisomi

Hhhm

Anayofanya si sawa nakosa usingizi

Mwilini miwasho na vichomi

Eeeiiihh!

Mwambiee!!!

Kuachwa mateso nasulubiwa

Mwenzie!!!

Yatima wa penzi mwana mkiwa

Oh mie eeh!

Mapenzi ugonjwa nimezidiwa

Ni yeye.

Mwengine sioni kunitibia

Uh!

Kilio Oh Kilio Oh

Kilio na penzi langu

Kilio Oh Kilio Oh

Huruma Haana

Kilio Oh Kilio Oh

Yarabi Mola wangu

Kilio Oh Kilio Oh

Japo simama

Yee ndio barafu Niliemlia yamini

Pemba karafu marashi yangu mwilini

Utamu wa ndafu Mbona ameuitia kwinini

Amenichezea rafu Penzi amelikafili

Eh.

Yee anajivinjali mwenzake nadoda

Napata tu habari anagawa uroda

Tetemeko moyo kupenda uoga

Najiepusha mbali kukwepa vihoja

Mwambiee!!!

Kuachwa mateso nasulubiwa

Mwenzie!!!

Yatima wa penzi mwana mkiwa

Oh mie eeh!

Mapenzi ugonjwa nimezidiwa

Ni yeye.

Mwengine sioni kunitibia

Uh!

Kilio Oh Kilio Oh

Kilio na penzi langu

Kilio Oh Kilio Oh

Huruma Haana

Kilio Oh Kilio Oh

Yarabi Mola wangu

Kilio Oh Kilio Oh

Japo simama

Moyo wangu bado (Mteke mteke)

Asinikondeshee

Mwenzake bado (Mteke mteke)

Asinizeeshe

Me mdogo bado (Mteke mteke)

Asinokomaze Roho

Moyo bado (Mteke mteke)

사이트에 새로운 텍스트와 번역이 추가되었습니다:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요