Jah Live - Luciano

Jah Live - Luciano

Год
2010
Язык
`스와힐리어`
Длительность
291980

아래는 노래 가사입니다. Jah Live , 아티스트 - Luciano 번역 포함

노래 가사 " Jah Live "

번역이 포함된 원본 텍스트

Jah Live

Luciano

Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,

MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,

MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,

Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe,

Kila muda kwene friji unajipoza,

MI domo zege nikisha kutumia natongoza,

Nalewa usiku kucha jua lina chomoza,

Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza,

We ni nani unaiyendesha hi akili,

Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili,

Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi,

Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi,

Unafanya nafubaa mi mwenzako,

Hadi kazini naiba chapaa nije kwako,

Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,

Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.

VERS 2;

Unafanya ndoa nyingi zinavunjika,

Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika,

Aukatai kila mteja anae kuarika,

Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika,

Likitokea tatizo we ndo kimbilio,

Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio,

Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio,

We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio,

Unarainisha koo kifikla unani bembeleza,

Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza,

Usha niweza nani aliye kutengeneza,

Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza,

Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha,

Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa,

Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,

Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.

VERS 3;

Dear gambe unanichanganya sana,

Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama,

Nashangaa, mengine yanatia kinyaa,

Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa,

Kwenye ubongo umetawala kila secta,

Niukweri siwezi kua nawe bila pesa,

Watu wengine wana kula ada kisa wewe.

Unawafanya wanasahau ibada,

Na juzi juzi tu nimepata khabari,

Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI,

Dear gambe nikweli unanichosha,

Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa,

Nawaza jinsi gani ntakuacha,

Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data,

Hakuna utata poa sasa najikata,

Kapuku nikizipata ntakufata…

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요