Sina Nyota - Mbosso

Sina Nyota - Mbosso

Год
2020
Язык
`스와힐리어`
Длительность
212430

아래는 노래 가사입니다. Sina Nyota , 아티스트 - Mbosso 번역 포함

노래 가사 " Sina Nyota "

번역이 포함된 원본 텍스트

Sina Nyota

Mbosso

Mwenyewe anaona sawa

Ila mwambie mimi ananiumiza sana

Ni zaidi ya kupagawa

Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa

Na ajue bado nipo

Ila hali yangu hohehahe

Sina mabadiliko

Machozi mafuriko fundi wa jiko langu kaacha mawe

Mpaka akalamba mwiko

Bridge:

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

Mwili watepeteka

Sina afadhali mawazo yanitesa

Mbavu dabodeka ni ka misumari

Naanza dhoofika

Mwili watepeteka

Sina afadhali mawazo yanitesa

Mbavu dabodeka ni ka misumari

Naanza dhoofika

Bado ndo ndo ndo chururu

Nikijaza haikai kibaba

Na misongosongo msururu

Sita haikai saba

Mimi kitorondo ye kunguru

Mbao zangu hazimpi msaada

Makombe nishaoga dawa ka susuru

Huenda nikasahu labda

Kitandani mito ipo miwili

Ubavu wewe ubavu mimi

Pakata ndiko imewekwa shubiri

Nalikwepa nalala chini

Nimefuta picha tulizopiga chumbani

Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani

Silali nastuka stuka unaniita gizani

Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani

Bridge:

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

Mwili watepeteka

Sina afadhali mawazo yanitesa

Mbavu dabodeka ni ka misumari

Naanza dhoofika

Mwili watepeteka

Sina afadhali mawazo yanitesa

Mbavu dabodeka ni ka misumari

Naanza dhoofika

Outro:

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha

Sina nyota wala mwezi

Mwenzake nimekamatwa

Na homa ya mapenzi

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요