Nimekuchagua -

Nimekuchagua -

  • 출시년도: 2018
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:26

아래는 노래 가사입니다. Nimekuchagua , 아티스트 - 번역 포함

노래 가사 " Nimekuchagua "

번역이 포함된 원본 텍스트

Nimekuchagua

Mmm, yeah

Ah!

Baby oh!

Mwenzio nina habari

Uje nkung’ate sikio

Sina ujanja oh

Mi kwako dhofuli hali

Nimeshaweka kituo

Nimenunua kufuri

Na mlango nishafunga

Nakukabidhi funguo

Nenda iweke pazuri

Na misumari gonga

Zungusha pia uzio

Ooh

Staki wa vichochoroni

Zipu nshafunga kwako weeeh

Iweje nkuweke rolehani

Na tetenasi nkulete

Staki wa vichochoroni baby

Zipu nshafunga kwako weewe

Iweje nkuweke rolehani oh baby

Na tetenasi nkulete

Iyaaaa

Honey, oh honey

Nimekuchagua oh honey

Honey, oh honey wee

Nimekuchagua oh Honey

Ooho hey!

Hana maana nilomridhia oh

Aliniacha nikitapatapa

Hakuwa na huruma nilipomkosea

Mi binadamu sijakamilika

Akasahau mapenzi hayana kabila wala kwao

Yoyote anatunukiwa

Uhmm unayemuona kwako tahira ndo uyo uyo

Mwenzako moyo anaujua

Ya nini baby

Staki wa vichochoroni

Zipu nshafunga kwako wee

Iweje nkuweke rolehani

Na tetenasi nkuletee

Staki wa vichochoroni baby

Zipu nshafunga kwako weeweeh

Iweje nkuweke rolehani ooh baby

Na tetenasi nkulete

Iyaaaa

Honey, oh honey

Nimekuchagua oh honey

사이트에 새로운 텍스트와 번역이 추가되었습니다:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요