
아래는 노래 가사입니다. Nitake Nini , 아티스트 - 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Kwako tena sitamani
Nilishajua nilivaba
Huna jipya
Kurudi haiwezekani
Nlishalioga janaba nikajisafisha
Mhhhhh
Oh maradhi yangu yamepata muuguzi
Mola wangu amenivusha viuzi
Pole mwenzangu unokesha kwa waganguzi
Nishapata waangu anojua nogesha chuzi
Naaaa
Ananipa mapenzi na kunijali dear
Ya nyuma niyasahau
Naaa
Anamaliza tenzi kutwa kunisifia kwa methali na nahau
Kwengine nitake nini
Ntang’ang’ana nang’ang’ania
Oh mimii
Nang’ang’ana Nang’ang’ania
Sitaki madanga wa mjini
Nang’ang’ana Nang’ang’ania
Oooh mimii
Nang’ang’ana Nang’ang’ania
Aah Atake cha mvunguni
Sawaaaa sawa
Bingili za sakafuni sawaaaa sawa
Michezo ya kusaka kunguni
Sawaaaa sawa eeeehhh
Tom la Jerry katooni
Sawaaaa sawa
Sawaaaa
Nliposema wa nini ye aliwaza atanipata lini
Ngendembwe za nini na vijembe vya chini chini
Yupo makini penzi kashalibana na pini
Anipenda mimii hajazoea kuzinizini
Kwanza kakuzidi maarifa
Mpira tisini dakika nyavu anazitikisa aeeee
Mlangoni mpaka kwa dirisha
Pindu ananipindisha
Mtoto ananifikisha aeeee
Naaaa
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요