Chombo - Rayvanny

Chombo - Rayvanny

Год
2018
Язык
`스와힐리어`
Длительность
173520

아래는 노래 가사입니다. Chombo , 아티스트 - Rayvanny 번역 포함

노래 가사 " Chombo "

번역이 포함된 원본 텍스트

Chombo

Rayvanny

Foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja

Ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja

Sponsor, danga, wachune komesha viranga

Basi vimba, tamba, block. wakikuchamba

(Oh lalala) cheusi mangala, wakanda

(Oh lalala) tukale sangara, wa mwanza

(Oh lalala) nywele chotara kinanda

(Oh lalala) geto papara misamba

Chombo chombo chombo… kanakwenda na fashion

Chombo chombo chombo… kana ngozi ya lotion

Chombo chombo chombo… mechi chumbani sebuleni

Chombo (chi) chombo chombo… ntakapeleka ukweni

Macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo

Pekecha pekecha, ulimbi ulimbombo

Mi ni wako ni ng’ang’anie, kama mbozi na kimondo

Nogesha nogesha, pegere na kamongo

Oh baby baby, (baby) mwenzako nita dead-i (my baby)

Hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed-i bed-i

(Oh lalala) cheusi mangala, wakanda

(Oh lalala) tukale sangara, wa mwanza

(Oh lalala) nywele chotara, kinanda

(Oh lalala) geto papara misamba

Chombo chombo chombo… kanakwenda na fashion

Chombo chombo chombo… kana ngozi ya lotion

Chombo chombo chombo… mechi chumbani sebuleni

Chombo (chi) chombo chombo… ntakapeleka ukweni

Oh lo lo lo lo lo lo lo lo

Oh lo lo lo lo lo lo lo lo

(Ayo lizer)

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요