Niko Bien - Sat-B

Niko Bien - Sat-B

  • 출시년도: 2020
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 2:58

아래는 노래 가사입니다. Niko Bien , 아티스트 - Sat-B 번역 포함

노래 가사 " Niko Bien "

번역이 포함된 원본 텍스트

Niko Bien

Sat-B

Eti Siku hizi nangangana

Ukiniona unaficama

Jina langu likitajwa unashtuka

Presha inapanda unaanguka

Una anguka wazimia

Mtaani wanashangiliya

Wengi wao uliwaoneya

Na maisha yao kuwa haribia

Nilimuomba mungu mi hekima

Akanijalia akaniazima

Sasa nina deal na watu wazima

Don’t Panic pindi unapo niona

Nipe wire wire

Nipe wire wire

Niseme nao nao

Ni deal nao (x2)

Ni Satura

Mbona Niko Bien

Maisha mafupi

Aca niwe bien

Le Marechal

Mbona niko bien

Oui le King

Mbona niko bien

Hook

Kale katoto ka jana

Kale katoto ka juzi

Kanajifanya kamekuwa

Hakana adabu

Hakana heshima (x2)

Ukinita mbwa

Ukinita Dogo

Ukinita Doggy

Yote pOa tu

Hayo ni maneno

Nyuma hayanirudishi

Kama unavo juwa

Kwanza haunilishi

Baba badi eeh

Baba badi eeh

Wambiye wadau wangu wasitishike

WaSiridhike washughulike wazitafute

Wajilinde Na ma dharau

Kamwambiye mama kama bado

Mapambana bado najituma

Japo wana bana

Ukiwaona masela wangu waku bata

Uwambiye Asalam Alykum

Maisha mserereko

Juzi alipata yul

Jana nikapata mimi

Kesho itakuwa wewe

Don’t worry

Nipe wire wire

Nipe wire wire

Niseme nao nao

Ni deal nao (x2)

Ni Satura

Mbona Niko Bien

Maisha mafupi

Aca niwe bien

Le Marechal

Mbona niko bien

Oui le King

Mbona niko bien

Hook

Kale katoto ka jana

Kale katoto ka juzi

Kanajifanya kamekuwa

Hakana adabu

Hakana heshima (x2)

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요