Nenda Lote - Sauti Sol

Nenda Lote - Sauti Sol

Альбом
Midnight Train
Год
2020
Язык
`스와힐리어`
Длительность
264120

아래는 노래 가사입니다. Nenda Lote , 아티스트 - Sauti Sol 번역 포함

노래 가사 " Nenda Lote "

번역이 포함된 원본 텍스트

Nenda Lote

Sauti Sol

Umetuma wazazi wako waje wanielezee

Umetuma wazazi wako waje wanielezee

Hunitaki tena, na mashoga zako waje waniambie

Na mashoga zako waje waniambie

Ndoa tumeivunja

Siamini kuna time singeishi bila wewe

Mapenzi ya kukata na shoka, eh, eh

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh

Basi nenda lote, mama

Nenda lote, mama

Mpenzi, unaenda

Nilikuenzi kinomanoma

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh

Nenda lote, mama

Ukatuma lawyer wako aje anisomee

Ukatuma lawyer wako aje anisomee

Kuwa watoto ulionizalia, eh, eh

Kuwa watoto ulionizalia, eh, eh

Sitawaona tena

Uhh

Siamini kuna time tuliapa hadharani

Kanisani kwa chanda na pete, eh

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh

Nenda lote, mama

Nenda lote, mama

Mpenzi, unaenda

Nilikuenzi kinomanoma

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh

Nenda lote, mama

Ukatuma pastor wako aje anikemee

Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama

Na madeni zangu ukazitangaza, eh (Ukazitangaza, eh)

Na madeni zangu ukazitangaza, eh

Mitandaoni, oh

(Mitandaoni, oh, eh)

Shemeji zangu, ndugu zako, tukionana

Waambie sisi bado rafiki, eh, eh

Wasinipite barabarani, mama, oh

Umeenda lote, mama

Umeenda lote, mama

Mpenzi, unaenda (Mpenzi, oh, baby)

Nilikuenzi kinomanoma (Oh, jana, no, no)

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh

Basi nenda lote, mama

Nenda lote, mama

Mpenzi, unaenda (Mpenzi, eh)

Nilikuenzi kinomanoma (Eh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh, yeh)

Yashamwagika, hayazoleki haya, oh (Hayazoleki haya, oh)

Nenda lote, mama (Mama, mama)

Nenda lote, mama

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요