아래는 노래 가사입니다. Kamasutra , 아티스트 - Sauti Sol, Vanessa Mdee 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Sauti Sol, Vanessa Mdee
Nitakupa kazi upande mlima, baby, yeah
Na siri zangu zote nitatoboa, yeah
So many things I want to do to you, my baby, yeah
Na siri zako mi' sitatoboa, huh
Selektah
I got something to make you better
Like the fire mi' napepeta
Like the fire mi' napepeta, eeh
Selektah (selektah)
I got something to make you better (better)
Like the fire mi' napepeta (pepeta)
Like the fire mi' napepeta (pepeta)
Leo kama- kamasutra mama (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba, eeh, ooh (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba ye, ye, yeyee (kamasutra)
Chali wa Nairobi manzi wa
Leo ni mahaba nakupatia
Rusha washa nari hamjam kare
Leo michuano jamila
Na si marimari, hii bei kali
Cash Madam nakubalika
Mboga juu ya meza teleza kimrenda
Washa udi na kadhalika
Vanessa, I got something to make you wetter
Baby, let me kiss it better
Like the fire mi' napepeta
Selektah, I got something to make you rise up
Lemme back it up on you
Like the fire mi' napepeta
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Mapenzi yake yanimaliza
Kiuno kama, baby, punguza
Tulishakubali wanafunzi, wewe professor wa kamasutra
Mapenzi yake pachika (pachika) uno kama, baby, tulia (tulia)
Bali wanafunzi mimi professor (professor)
Kamasutra
Mizani kama mimi naondoka nawe
Napiga mahesabu naondoka nawe
kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra}
Mizani kama mimi naondoka nawe
Napiga mahesabu naondoka nawe
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요