아래는 노래 가사입니다. Wera , 아티스트 - Sauti Sol 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Sauti Sol
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake. Huenda akawa Obama atawale Amerika
Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Wanyama acheze soka uingereza
Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa taifa
Aaah
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Nitamlea oh ohHuenda akawa Maathai ailinde mazingira
Huenda akawa Makeba nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa Nyerre aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandla mkombozi wa Afrika
Aaah
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake. Nakuomba
Nerea Nerea
Nerea Nerea
Nerea Nerea
Usitoe mimba yangu
Nerea
Nerea
Nerea
Usitoe mimba yanguHuenda akawa Kagame atawale
Jaramogi Odinga tuungane
Huenda akawa Tom Mboya
Huenda akawa Rudisha
Huenda akawa malaika
Mungu ametupatia
Huenda akawa Sauti Sol
Huenda akawa Amos and Josh
Huenda akawa
Yeah yeah yeah
Huenda akawa Malaika
Mungu ametupatia…
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요