
아래는 노래 가사입니다. Yuko Nawewe , 아티스트 - Size 8 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Size 8
This one is for youx2
moyoni waumia.
aaaahhh
this one is for youx2
kila mara waliaaaaa
(Jacky b)
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
yuko na wewe, yuko na wewe eeehh
vuta machozi Yesu yuko na wewe
yuko na wewe, yuko na wewe eeehhh
vuta machozi, Yesu yuko na wewe.eeeehhh.eenhe
nikiangalia vizuri
uko nyumbani pekee yako
kila kitu kilienda mrama
ni kama wanakuchukia
unaona ni vizuri
ukichukua maisha yako
hizo zote ni uongo wa shetani
neno lake Bwana lasema
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
yuko na wewe, yuko na wewe eeehh
vuta machozi Yesu yuko na wewe.
eehh
yuko na wewe, yuko na wewe.
eeehhh
vuta machozi Yesu yuko na wewe.eeeehhh.eeennhe
amka furahia kwani Yesu ana upendo wa milele
Size 8 • 2016
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요