Utatulia -

Utatulia -

  • 출시년도: 2018
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:43

아래는 노래 가사입니다. Utatulia , 아티스트 - 번역 포함

노래 가사 " Utatulia "

번역이 포함된 원본 텍스트

Utatulia

Aiy

Its Bonga

Kiangazi Masika Ukiichanganya

Vyote Vikashuka Kwangu Vitanielemea

Ntakosa Pa Kushika Ntavavanya

Wewe Ndo Mwandani Wangu Nliokuzoea

Ntunza Vyangu Visiri Mwenye Kunisitiri

Fundi Mitambo

Kinga yangu Ya Mwili Usiyelipa Bili

Kuchoma Changu

Simtaki Kafiri Jangiri Mwingi Wa Mambo

Moyo Akaukatilli

Nikondeshe Mwili

Ajifanye Rambo

Si Unajua

Dalili Ya Mvua Mawingu

Ikitaka Kunyesha

Huwa Yanatanda

Nami Si Unanjua aah!

Nimeumbwa Na Wivu

Kidogo Tu Presha

Yanshuka Yapanda

Niahidi Kama

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Nisibaki Nkashika Tama

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Wasiniibie Cha Ngama

Maneno Yangu Si Biblia Wala Masaafu

Useme Usibadili (Hhhmm)

Jichunge Kipenzi Changu

Unanisikia Usicheze Rafu

Yatimie Waliotabiri

Usijifanye Ronaldinho

Penzi Utie Mbwembwe

Utahaaribu

Visokolokwinyo

Wakupitie Denge Kukujaribu

Kina Capachino Wakakutia Wenge Kwa Vizabibu

Wakugongeshe Mvinyo

Ukaota Mapembe Iwe Aibu

Si Unajua

Dalili Ya Mvua Mawingu

Ikitaka Kunyesha

사이트에 새로운 텍스트와 번역이 추가되었습니다:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요