Barua Ya Mwisho - Wyre, Johnny Vigeti

Barua Ya Mwisho - Wyre, Johnny Vigeti

Год
2015
Язык
`스와힐리어`
Длительность
286000

아래는 노래 가사입니다. Barua Ya Mwisho , 아티스트 - Wyre, Johnny Vigeti 번역 포함

노래 가사 " Barua Ya Mwisho "

번역이 포함된 원본 텍스트

Barua Ya Mwisho

Wyre, Johnny Vigeti

Eeeh Love Child pon dah case!

Gideon boots already know!

Ready fi go fight dis war

Negativity full of taxing

Ready fi polluting yah conscious

Sina uwoga nina Mola

Thamani hawatani pora

Majaribio kwa wingi!

Imani yangu msingi

Homie life seem confusing

Only refuge coulda been mi-music

When me think about my family again

And the only gift to life coulda never want abuse it

Father God keep me sane, through all this pain

Nipe haki niishi, bila chuki

Show me that right way, when I go astray ooh

Nipe haki niishi, bila chuki

Najiskia huyu hata sio mimi

Man, hata sijui ndio nini!

Nafsi yangu ime-dhoofika

Medication yangu huwezi ipata hosii aah!

Hata sinanga motisha

Ukinigeuzia mgongo ndio sasa ndio kwisha

Saa ingine mi hujiaangalia

Ushaona mwanaume akiskia kulia

Nimepotea bado naulizia njia

Najua vitu hufanyika na sababu

Alafu bado huwezi ridhisha mwanadamu

Niwe-tu ndio nikikuita una-kamu

Huwezi badilisha chenye Mungu ameandika

Huwezi ukarudisha wale ndugu tumezika

Mambo kwisha, hatuwezi saidika

Tafutana na salvation kule kanisa

Father God keep me sane, through all this pain

Nipe haki niishi, bila chuki

Show me that right way, when I go astray ooh

Nipe haki niishi, bila chuki

Kweli hawataki kujua

Naona nikaa washikaji wataniuwa

Wako faster kuni judge mimi

Naweza gonga mtu punch nini

Zukungwa na upuzi, kama za booty zinafungwa na mu…

Hio ndio kitu ya mwisho nitawaandikia

Najua hiyo risto itawafikia

Kwa kifua uzito naachilia

Naenda mimi sijui kama nitarudi

Tusipo onana pia goody

Man, tusipo onana pia goody

Napiga magoti

Asante hapana nipita Sir-Gody ha!

Potelea kwa form hakuna

Man, tunaongelea hawa ma-kuma

Haina noma hayo ndio mawazo ya mwisho

Na sio mawazo ya mwisho

Sio mbali kutoka hapa

Hapana kuchoka sasa

Nahofia watoto wetu

Hao ndio hope na ndoto zetu

Sumbuliwa tu na serekali

Hata sijui wanaficha siri gani

Father God keep me sane, through all this pain

Nipe haki niishi, bila chuki

Show me that right way, when I go astray, ooh!

Nipe haki niishi, bila chuki

Father God keep me sane x3

Through all this pain

Father God keep me sane x2

Ooh!

Nipe haki niishi, bila chuki x3

아티스트의 다른 노래:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요