Sorry - Harmonize

Sorry - Harmonize

Год
2021
Язык
`스와힐리어`
Длительность
264540

아래는 노래 가사입니다. Sorry , 아티스트 - Harmonize 번역 포함

노래 가사 " Sorry "

번역이 포함된 원본 텍스트

Sorry

Harmonize

In this world nobody is perfect

We all do mistakes so forgiveness is all we have

And we only got one life here on this earth

This one for you, for you you you

Mi ni mwanadamu sijakamilika

Hadi siku ya mwisho wataponizika

Usisahau Zuu hana kosa malaika

Chonde unisamehe

Busara zako na upole kadhalika

Haki ni wazi haviwezi vikavunjika

Najua hayazoleki yakimwagika

Baby unisamehe

Namaliza wiki, nyumbani sifiki

Simu zako sishiki, busy na marafiki

Ona aki ni wazi ulinivumilia vipi

Tena vyenye dhamani kushinda shilingi

Ni wazi siwezi kupinga

Maana mi ni mwanadamu

Na inatokea kuteleza

Ila ningeonekana mjinga

Ningeikana damu

Naamini hata Mungu

Isingeweza kumpendeza

Am sorry sorry sorry sorry sorry, sorry

So lonely lonely lonely lonely, lonely

Am worried worried worried

Worried for you

Am sorry sorry sorry sorry sorry

So lonely lonely lonely lonely, lonely

I worry worry, I worry

I worry for you

Basi fanya unisamehe

Oh oh oh nisamehe

Oh oh oh nisemehe

Nimekosa naomba

Unisamehe, unisamehe

Unisamehe nimekosa naomba unisamehe

Unapohesabu makosa yangu usisahau na mema

Nitunzie pia mapungufu yangu kwa watu usije ukasema

Shilingi imeshazama kwenye shimo oh oh

Kamwe siwezi pata tena

Machozi yaso na kipimo oh oh

Hata nikifumba macho yananipenya

Ninacho amini haikupangwa mi na wewe

Tuwe wote mpaka siku ya mwisho

Hakuna nilichofanya makusudi

Ndo maana hadharani nikajirudi

Na hakuna chenye mwanza duniani

Kikakosa kuwa na mwisho

Ndo hivo tena sina budi

Na sina maana nataka urudi

No matter kesi gani nitabaki na hamu

Ila singeweza kuikana damu

Maana kitanda hakizai haramu nenda salama unisamehe

Am sorry sorry sorry sorry sorry, sorry

So lonely lonely lonely lonely, lonely

Am worried worried worried

Worried for you

Am sorry sorry sorry sorry sorry

So lonely lonely lonely lonely, lonely

I worry worry, I worry

I worry for you

Basi fanya unisamehe

Oh oh oh nisamehe

Oh oh oh nisemehe

Nimekosa naomba

Unisamehe, unisamehe

Unisamehe nimekosa naomba unisamehe

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요