Sio Mbaya - Jux

Sio Mbaya - Jux

  • 출시년도: 2019
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:33

아래는 노래 가사입니다. Sio Mbaya , 아티스트 - Jux 번역 포함

노래 가사 " Sio Mbaya "

번역이 포함된 원본 텍스트

Sio Mbaya

Jux

Kwa nini ukiniona

Unakosa furaha

Si acha kuna kuna

Kwa nini ujipe karaha mama

Mi najua unachotaka wee

Unachowazaga

Ata mimi napitiaga

Ila tunajikaza eeh

Na siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako naona loneliness

Loneliness

Na siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako kuna loneliness

Loneliness

Najua kuna vingi we husemi

Kwangu mimi sio mbaya

Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya

Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze

Endapo utanimiss just call me

Kwangu mimi sio mbaya

Nipigie, kwangu mimi sio mbaya

Mama nipigie, kwako mimi sio mbaya nieleze

Nieleze, nieleze

Oooh no no no no

Kuna mazuri mengi umefanya

Sikutangaza ubaya aaah

Kuna mazuri mengi nimefanya

Sitokusemea ubaya aah

Please let me know oh oh oh

Nijue walisoma igizo, maigizo

Let me know oh oh oh

Labda we mimi sina tatizo, tatizo

Siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako naona loneliness

Loneliness

Siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Naona loneliness

Loneliness

Najua kuna mengi we husemi

Kwangu mimi sio mbaya

Ah sio mbaya, kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya naomba nieleze

Ukininimiss just call me

Kwangu mimi sio mbaya

Mama mama ma, kwangu mimi sio mbaya

Nasema, kwangu mimi sio mbaya nieleze

Moyo wako unataka taka

Mdomo wako nakataza taza

Naamua kunyamaza maza

Bora useme unachowaza waza

Unajua mama

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya nieleze

Ukininimiss just call me

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya nieleze

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke te

아티스트의 다른 노래:

1

#Umenikamata

Jux • 2017

2

Fimbo

Jux • 2018

사이트에 새로운 텍스트와 번역이 추가되었습니다:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요