Zaidi - Jux

Zaidi - Jux

  • 출시년도: 2019
  • 언어: 스와힐리어
  • 지속: 3:48

아래는 노래 가사입니다. Zaidi , 아티스트 - Jux 번역 포함

노래 가사 " Zaidi "

번역이 포함된 원본 텍스트

Zaidi

Jux

Na na na nax4

Zinanitoka goose bumps, Nikisikia jina lako

Mi ninaweukaa, Kabisa mi ni chizi wako

Na kama ni mganga eeeh, Mzuri huyo mganga wako

Sio kwa kunipumbaza huku (Baby mmhh)

Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh

Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh

Kama ni pilipili maa, Acha ukali niusikie

Kama nivita mama, Acha adui wanivamie

Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue

No no nooooo

Zaidi X4

Nipe X2

Zaidi X2

Wewe zaidi zaidiii

Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)

Nanyosha mikoni juu, kwako me nimesurrender

Naona maajabu, Sungura kazidiwa ujanja

Nimekuwa zuzu zuzu zuuu, Nimekuwa bubu bubu buuu

Nimekuwa mbumbu mbuu baby ehh, Nimekuwa zaidi ya nyumbu

Sioni sisikiii… (aaah)

Sioni sisikiii baby eeeh

Kama ni pili pili maa, Acha ukali niusikie

Kama nivita mama (na na na na), Acha adui wanivamie

Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie

Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue

Zaidi X4

Nipe X2

Zaidi X2

Wewe zaidi zaidiii

Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)

Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh

Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh

Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh (Mmmmh)

아티스트의 다른 노래:

1

#Umenikamata

Jux • 2017

2

Fimbo

Jux • 2018

사이트에 새로운 텍스트와 번역이 추가되었습니다:

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요