아래는 노래 가사입니다. Nyanyasa , 아티스트 - Nandy 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Nandy
Aaaah aaaaah unaninyanyasa aaah
Unaninyanyasaaaah uuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaaah aaah
Uuuh uuuh unaninyanyasaaaah euuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaah
Mwili umekonda nimepunguaaah haieleweki nachougua aaah moyo kidonda
Unakwangua inauma sana aah mbele za watu unaniumbua sina la kusemaaah
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah baby
Unaninyanyasaaaah wewe
Unaninyanyasaaaah baby unaninyanyasaaaah bby unaninya…
Unaniangusha chini aniokote nani japo ujui thamani yangu me nani
Ataitambua aaah kwanza kumbuka baby si tumetoka mbali
Iih ukiwa huna siwazi nimekubali tuijenge familia aah
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah wewe
Unaninyanyasaaaah wewe unaninyanyasaaaah aaah
Wewe unaninyanyasaaaah aaaah aaah unaninyanyasaaaah
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요