아래는 노래 가사입니다. Powerful , 아티스트 - Nandy 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Nandy
Nilipotoka nilipona, na vijimateso nilionja
Mola ananiongoza, najiepusha na ulofa
Niko huku Ako kule
Huyu ndio Mungu bwana hawezi vuruga game
Na we ndo kinara huku Ako kule
Ameninyoosha Sana nijajitambua
I am powerful, sababu yako
Cause you’re powerful, zaidi yao
Madugudugu, shauri zao
Amani moyoni, kutoka kwako
Zaidi, zaidi yao, zaidi
Wahenga wahenga walisema aliyejuu mngojee chini
Mimi msichana was kisasa siwezi suburia chini
Niko gadogado, napambana bado
Imani yangu kwako ndo nguzo kwako
Niko gadogado, napambana bado
Imani yangu kwako
I am powerful, sababu yako
Cause you’re powerful, zaidi yao
Madugudugu, shauri zao
Amani moyoni, kutoka kwako
Walisema Sina na sitoweza weza kupata na ndo maana leo (wamefyata)
Walisema Sina nyota yangu ya punda ndo maana leo
I am powerful, sababu yako
Cause you’re powerful, Zaidi yao
Madugudugu, shauri zao
Amani moyoni, kutoka kwako
I am powerful
Zaidi, zaidi yao, zaidi
Sababu yako
Zaidi yao
Shauri zao
Kutoka kwako
Cause I’m powerful
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요