아래는 노래 가사입니다. I Miss U , 아티스트 - Harmonize 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Harmonize
Only you on my mind
Nahisi mwengine hakuna kwenye hii dunia
I don’t know what to do never mind
Hata salam unauchunaa, vimessage nikikutumiaa
Ingawa silijui kosa ila fanya unisamehee
Umeni adhibu vya kutoshaa japo imani nioneee
Oh babyy
Nikalala naotaaa
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasitaaa ipo siku ntaitikaaa
Ooh nikilala naoota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasitaa ipo siku ntaitika my baaaaaaaby
I miss youuu
Ukiona mtu mzima ma analia ujue kuna jambo
I miss youuu
Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwez kwenda ng’ambo
Nili sacrifice my love for you
Uuu uuuuuuu
Leo unaniona sifai na matusi juuu
Uuu uuuuuuu
Natamani urudi mama ila siwez kukuforce force
Punguza makusudi drama hizo mbwembwe na vipost post
Kutwa nashinda insta
Nazitazama zako picha
Usiombe bando likisha
Me mpweke ila yote tisaa
Ooooooh
Nikilala naota, naota kama unanita
Ila nasfi inasitaaa
Ipo siku ntaitikaa
Oooh nikilala naotaaa
Naota kama unaniita ila nafsi inasita ipo siku ntaitika my baaaby
I miss you
Ukiona mtu mzima analia ma ujue kuna jambo
Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwezi kwenda nga’mbo
I miss you
Nikilala naota naota kama unanitaa ila
Nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitikaaa
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요