Litakufa jitu - Harmonize

Litakufa jitu - Harmonize

Год
2021
Язык
`스와힐리어`
Длительность
237080

아래는 노래 가사입니다. Litakufa jitu , 아티스트 - Harmonize 번역 포함

노래 가사 " Litakufa jitu "

번역이 포함된 원본 텍스트

Litakufa jitu

Harmonize

Hello World, It’s Dj Seven Worldwide

Countryboy, the father, Bonga!

Eyoo warrup Khaligraph huku ni mazishi

Watoto wanaitaka crown huku ni mtiti

Si unaona wahuni tuko live maisha na mziki

Ukiona tuna -- sio gangwe ni kijiti au vipi

Tulianza kama utani Seven, ngwengwe walikuwa hawataki

Litakufa jitu baba waende wakanishtaki

Sisikii siwaoni sura zao wameziweka wapi?

We kunja dada zako nawala kama mshikaki

Goma la masela sema yoh yoh

Nina watoto wakali sema yoh yoh

Watoto kama wa masha wako loyal

Ile woiyoo, woiyoo yoyoo

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Yoh, likifa tunalizika, hatulazagi damu

Leo patachimbika, mitungo zam zam

Bongo pass weed men I wanna get higher

Walosema kawaida wanaona haya

Pause I got money power, in my bank accounts

Nyingine nazigawa, I don’t know amount

Cheza nayo, cheza ni sumu kacheze ukuti

Eeeh eh eh, kacheze ukuti

Ukiona hapa gumu nina chupa la parachuti

Eeeh eh eh, parachuti

(Konde Boy)

Goma la masela sema yoh yoh

Nina watoto wakali sema yoh yoh

Watoto kama wa masha wako loyal

Ile woiyoo, woiyoo yoyoo

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Yeah, we bado uko plan A, mi niko AB mpaka Z

Kubonga bonga sana hizo mambo sifagilii

Kumbe unawaza utoke mgonge nanilii

Mwenzako naewaza MTV na BET

Si unaona siku hizi mchizi navyo waka waka

Nawaleta chini hoi nyaka nyaka

Siwaachii kila track nawabaka baka

You know I be killing them muthafucker

Goma la masela sema yoh yoh

Nina watoto wakali sema yoh yoh

Watoto kama wa masha wako loyal

Ile woiyoo, woiyoo yoyoo

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

Litakufa jitu!

(Sukari kwa presha)

We got money, we got power

We got everything, we got the world

Ey Yoh Seven, let em' die homie

Is that you in the concent?

Got you, you know what’s is this, aah!

Look up it’s me Baby

(Oh My God it’s Better Sound)

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요