아래는 노래 가사입니다. Mtaje , 아티스트 - Harmonize 번역 포함
번역이 포함된 원본 텍스트
Harmonize
Ana kasura ka upole
Miaka nenda rudi hazeeki
Tena ni mtu wa gym gym
Shepu ndo linanipa wazim zim
Na cartoon mchore
Ila ndo hilo tena hapendeki
Ama kweli mapenzi hayana mwalimu
Wengine hata kuniona ni adimu
Hivi tuseme ana ngekewa
Ama nyota yake kali ananizidi
Ama mjini nimechelewa
Ona wengine wanamponda wanamuita bibi
Nilianza kumuona mapema
Enzi za mabanda ya sinema
Alikuwaga ni rafiki na Wema
She is so cute
Acha wanione mshamba tu
Mtuta hawezi kunipigia honi
Umri nao ni namba two
Kinachoniuma anajifanya haoni
Kama unamjua, mtaje
Nani anayemjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
Basi kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae
Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye
Tena ni fundi wa kuchanua ah
Utasema samaki ng’onda
Hapo ndo nikagundua ah
Hii ni kiriwani za Makonda
Kwa daladala, ninashindwa kulala lala lala
Anambadalda dala dala, anaitoka ka
Hakika ye ndo kiboko yangu
Jua likiwaka ikinyesha
Utembo na ujeshi wangu
Geti ni kwake nilikesha
Mtihani wa mapenza hakuna aliyefuzu
Sawa unywe pombe na useme nguzu
Na mtu kisha penda unakuwa zuzu
Ati nawazaje kuwa mama zuzu
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
다양한 언어로 된 노래
모든 언어로 고품질 번역
몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요