Saula - Harmonize

Saula - Harmonize

Год
2019
Язык
`스와힐리어`
Длительность
199220

아래는 노래 가사입니다. Saula , 아티스트 - Harmonize 번역 포함

노래 가사 " Saula "

번역이 포함된 원본 텍스트

Saula

Harmonize

Mwenzako jicho chongo

Kwa mwengine sioni tena

Umenipa magongo nitembee

Niache kuchechema

Tujiepushe na waongo

Hawakosagi cha kusema

Ulinzi nguzo chuma dongo

Penzi tuezeke na mahema

Penzi langu la kizigua nakupa taratibu (Aaah eh!)

Na miuno nainengua washikwe na aibu

Nazani hawajajua wewe ndo unaniharibu (Aaah eh!)

Na mwaka huu mbona wataugua wakose wa kuwatibu

Wewe nipe mambo ya Pwani eti mwenzako nina nenge

Kanga moja begani uno ulifunge tenge

Mguu bara mguu Pwani kama unaruka senyenge

Wee nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge

Saula!!! (Mambo yaweke hadharani)

Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)

Saula!!! (Uyaweke hadharani)

Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)

Kama karata umelamba dume

Wengine garasa bado (Saula!!!)

Tikitaka kinyume nyume

Mashoot kama Ronaldo (Saula!!!)

Kaliona Jiti kasaula kajitupa kwa kiwanja

Kibichibichi kaa Paula wa Kajala Masanja

We nipe nisivyopewa hadi nihisi raha ya dunia

Nijione mwenye ngekewa mafisi waje ninunia

Nipost usiogope sasa univizie Mobeto

Tena mashost na waropokwe tujichimbie magheto

Wee nipe mambo ya pwani

Eti Mwenzako nna Nnenge

Kanga Moja negani uno ulifunge Tenge

Siku ya kufa Nyani kinyozi kakosa wembe

Kule Mtwara nyumbani tunaitaga Singenge

Saula!!! (Mambo yaweke hadharani)

Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)

Saula!!! (Uyaweke hadharani)

Saula!!! (Kwani unamuogopa nani)

Aaah! kibinda (Aaah kibinda nkoe)

Yeeeeeh!!! (Aaah kibinda nkoe)

Fanya kujipinda pinda (Aaah kibinda nkoe)

Eh Yeeeeeh!!! (Aaah kibinda nkoe)

Cheza Ukiringa ringa (Aaah kibinda nkoe)

Eeeh! (Aaah kibinda nkoe)

Zungusha nyonga madoido (Aaah kibinda nkoe)

Kakupa mama (Aaah kibinda nkoe)

Uno la Kofi Lomido (Aaah kibinda nkoe)

Binua bandama (Aaah kibinda nkoe)

200만 개 이상의 가사

다양한 언어로 된 노래

번역

모든 언어로 고품질 번역

빠른 검색

몇 초 만에 원하는 텍스트를 찾으세요